>> ‘Ndugu zangu,naendelea kumshukuru Mungu kwa kila jambo. Nikiwa shambani kwangu Mzeri, Handeni nikichunga mifugo yangu naona miujiza ya Mungu ikitendeka. Mazingira ya asili ni zawadi kuu aliyotukirimu Mwenyenzi Mungu. Kila mmoja wetu kwa nafasi yake amshukuru Mungu kwa kuyathamini, kuyalinda na kuyatunza mazingira popote alipo‘
Sunday, December 27, 2015
Maneno ya Edward Lowassa ma 3 akichunga Ngo’mbe alafu akaandika haya maneno 46
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment