Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akitangaza baraza lake la mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo
Desemba 10, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan
na kushoto ni Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akitangaza baraza lake la mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo
Desemba 10, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan
na kushoto ni Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa. Kushoto
kabisa ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.
0 comments:
Post a Comment