Mkurugenzi
wa Kituo cha Mkubwa na Wanawe Said Hassan maarufu kwa jina la Mkubwa
Fella leo amekula kiapo cha kuwatumikia wakazi wa Kata y Kilungule kwa
ngazi ya Udiwani. Baada ya kula kiapo hicho Fella alikua na haya ya
kuzungumza "Kwanza nashukuru Mungu pili Wadau wangu wotekwa Kata yetu ya
Kilungule, na Tasnia yetu ya sanaa nawashukuru wasanii wote walio
nisapot pia namshukuru sana rafiki wetu wa wasanii Mh Jakaya Kikwete na
Rafiki yangu January Makamba"
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment