Rais 
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli 
(kushoto) akimuapisha Mhe.  Dkt. Philip Mpango (kulia) kuwa  Waziri wa 
Fedha na Mipango (Ni baada ya kumteua  kuwa Mbunge), leo Ikulu Jijini 
Dar es Salaam.
Rais 
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli 
(kushoto) akimuapisha Mhe.   Profesa Makame Mbarawa (kulia) (amehamishwa
 kutoka Wizara ya Maji na Umwagiliaji) na kwenda Wizara ya Ujenzi, 
uchukuzi na Mawasiliano leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. 
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli 
(kushoto) akimuapisha Mhe. Profesa Jumanne Maghembe (kulia) kuwa Waziri 
wa Maliasili na Utalii,  leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli 
(kushoto) akimuapisha Mhe. Dkt. Joyce Ndalichako (kulia) kuwa  Waziri wa
 Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi. (Ni  baada ya kumteua kuwa 
Mbunge), leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
 
0 comments:
Post a Comment