Rais 
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
(kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya 
Ndege Zanzibar Kepten  Saidi Iddi Ndumbugani, kuhusu aina ya Taa mbali 
mbali zilizofungwa kwa uongozaji wa Ndege wakati wa ikitua  katika 
 sherehe ya uzinduzi wa Taa za kuongozea Ndege kwenye kiwanja cha ndege 
cha Pemba uliofanyika jana ikiwa ni katika maadhimisho ya miaka 52 ya 
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Katika
 barabara ya ndege katika uwanja wa ndege wa Karume Pemba zikiwa 
zinaonekana Taa hizo zikiwa tayari kufanya kazi inayohitajiwa kwa 
wakati,taahizo zilizinduliwa jana na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa 
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika  sherehe ya uzinduzi wa 
Taa za kuongozea Ndege kwenye kiwanja cha ndege cha Pemba ikiwa ni 
katika maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais 
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
(katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja 
vya Ngege Zanzibar Kepten  Saidi Iddi Ndumbugani, wakati alipofika 
kutembelea kuona  aina ya Taa mbali mbali zilizofungwa kwa uongozaji wa 
Ndege wakati wa ikitua  katika  sherehe ya uzinduzi wa Taa za kuongozea 
Ndege kwenye kiwanja cha ndege cha Pemba uliofanyika jana ikiwa ni 
katika maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Aina 
ya Taa zilizokuwa mwishoni mwa kiwanja cha ndege cha Karume Pemba zikiwa
 na Rangi ya Nyekundu na Buluu ambazo hutoa ishara kwa Kepteni 
anayeongoza Ndege ikitua,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la 
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pamoja na Viongozi mbali mbali 
aliofuatana nao walijionea  taa hizo namna zilivyofungwa  katika 
utaratibu maalum wakati  uzinduzi wa Taa za kuongozea Ndege kwenye 
kiwanja cha ndege cha Pemba uliofanyika jana ikiwa ni katika maadhimisho
 ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Aina 
ya Taa zilizokuwa nje kabisa ya  kiwanja cha ndege cha Karume Pemba 
 ambazo hutoa ishara kwa Kepteni anayeongoza Ndege ikitua,Rais wa 
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
pamoja na Viongozi mbali mbali aliofuatana nao walijionea  taa hizo 
namna zilivyofungwa  katika utaratibu maalum wakati  uzinduzi wa Taa za 
kuongozea Ndege kwenye kiwanja cha ndege cha Pemba uliofanyika jana 
ikiwa ni katika maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya 
Zanzibar.
Rais 
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
(katikati) akifungua pazia kama iskara ya Uzinduzi wa Taa za Kuongozea 
Ndege katika kiwanja cha Ndege cha Karume Pemba jana ikiwa ni katika 
sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi 
Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Naibu Waziri wa Miundombinu na 
Mawasiliano Issa Haji Ussi(GAVU).
Rais 
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
(kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya 
Ngege Zanzibar Kepten  Saidi Iddi Ndumbugani, kuhusu majenereta 
yanayotoa umeme baada ya kuzindua rasmi  Taa za kuongozea Ndege kwenye 
kiwanja cha ndege cha Pemba jana ikiwa ni katika maadhimisho ya miaka 52
 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Wafanyakazi
 Mamlaka ya Viwanja vya Ndege na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar
 na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi wakati alipkuwa akitoa hutuba yake
 ya uzinduzi wa Taa za kuongozea Ndege kwenye kiwanja cha ndege cha 
Pemba jana ikiwa ni katika maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu
 ya Zanzibar.
Katibu
 Mkuu wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Dk.Juma Malik Akili 
alipokuwa akitoa maelezo ya kitaalam kuhusu mradi wa uwekaji wa Taa  za 
kuongozea Ndege katika sherehe za uzinduzi wa Taa za Kuongozea Ndege 
katika kiwanja cha ndege cha Pemba jana ikiwa ni katika shamra shamra za
 miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Naibu 
Waziri wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi(GAVU) 
akitoa slamau za Wizara pamoja na kumkaribisha Rais wa Zanzibar na 
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuzungumza na 
wananchi katika sherehe za uzinduzi wa Taa za Kuongozea Ndege katika 
kiwanja cha ndege cha Pemba jana ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 
52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais 
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
(katikati) akizungumza na wananchi katika sherehe za uzinduzi wa Taa za 
Kuongozea Ndege katika kiwanja cha ndege cha Pemba jana ikiwa ni katika 
shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Mkuu
 wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid na (kushoto) Naibu Waziri wa 
Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Issa Haji 
 
 
 
 
 
 











 
 
0 comments:
Post a Comment