Mgombea
 mwenza wa CHADEMA Juma Duni Haji amezuiwa kuingia katika chumba cha 
kutangazia matokeo ya urais katika ukumbi wa Julius Nyerere wakati zoezi
 hilo likiendelea baada ya kueleza kuwa ameleta hati ya pingamizi ya 
matokeo.
  
Hata hivyo walinzi wa eneo la kutangazia matokeo walimkatalia kuingia katika chumba hicho na kumtaka aende Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchguzi (NEC) kuwasilisha hati yake hiyo na kisha kusindikizwa kwenye gari alilokuja nalo lenye namba T754 DDY aina ya Toyota.

0 comments:
Post a Comment