Balozi mpya wa Misri hapa nchini 
Mhe.Yasser Ahmed Al Eldin Elshawaf wakiwalisha hati zake za utambulisho 
kwa Rais Kikwete ikulu jijini Dar Es Salam leo.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete 
leo amepokea hati za utambulisho kutoka kwa mabalozi wanne 
wanaziwakilisha nchi zao hapa Tanzania.Mabalozi waliowasilisha hati zao 
kwa Rais Kikwete ikulu asubuhi ya leo ni pamoja Mhe.Yasser Ahmed Al 
Eldin Elshawaf Balozi mpya wa Misri hapa nchini, Mhe.Yahel Vilan Balozi 
mpya wa Israel nchini Tanzania, Mhe.Bayani Mangibin balozi mpya wa 
Ufilipino nchini na Mhe. Tan Puay Hiang Balozi mpya wa Singapore nchini 
Tanzania.Pichani Mabalozi hao wakiwasilisha hati zao za utambulisho.
-Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambusho kutoka kwa Mhe.Yahel Vilan Balozi mpya wa Israel hapa nchini,
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete 
akipokea hati za utambulisho kutoka kwa mhe.Bayani Mangibin Balozi mpya 
wa Ufilipino nchini Tanzania.
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment