1Katibu Mkuu wa Wizara ya
Maliasili na Utalii, Dkt. Adelhelm Meru akizungumza na waajiriwa wapya katika
Ufunguzi wa   Semina Elekezi  iliyofanyika 
katika Chuo cha Taifa cha  Utalii
Kampasi ya Temeke, jijini  Dar es
salaam.  Wengine ni Mkurugenzi  wa Idara Rasilimali watu Bw. Said Msambachi (
wa pili kushoto)    akiwa na   Mkurugenzi Msaidizi wa Rasilimali watu Bi.
Aurelia Matagi , ( wa kwanza kushoto) , Kwa upande wa kulia  ni Mkurugenzi wa Idara ya Utalii Bw. Zahoro
Kimwaga pamoja Mkurugenzi  wa Idara ya
Wanyamapori Bw. Herman Keryaro 
     
Mkurugenzi  Msaidizi wa Rasilimali watu Bi Aurelia Matagi
( kulia) akiwa na Afisa Utumishi Mwandamizi 
Bw. Safari, wakiwa wanatoa maelekezo ya kujaza fomu za kuajiriwa
katika  Semina Elekezi  iliyofanyika 
katika Chuo cha Taifa cha  Utalii
Kampasi ya Temeke, jijini  Dar es salaam. 
      
Baadhi ya Watumishi wapya  walioajiriwa na Wizara ya Maliasili na Utalii
wakiwa  katika  Ufunguzi wa  Semina Elekezi ya Waajiriwa wapya  iliyofanyika 
katika Chuo cha Taifa cha  Utalii
Kampasi ya Temeke, jijini  Dar es salaam.
      
Katibu Mkuu wa Wizara ya
Maliasili na Utalii Dkt. Adelhelm Meru akiwa ameongozana na Mkurugenzi  wa Idara ya Wanyamapori Bw. Herman Keryaro (
kushoto)  akiwa   pamoja na Mkurugenzi wa Idara ya Rasilimali
watu  Bw. Said Msambachi  ( kulia) mara baada ya Katibu Mkuu, Dkt.  Meru  
kuwasili katika ufunguzi  wa  Semina Elekezi ya waajiriwa wapya  iliyofanyika 
katika Chuo cha Taifa cha  Utalii
Kampasi ya Temeke, jijini  Dar es
salaam.  
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment