Familia
 ya Marehemu Cyprian Tarimo ya Ukonga, Mombasa Dar es Salaam inasikitika
 kutangaza kifo cha mama yao mpendwa Mama Judith Tarimo kilichotokea 
Oktoba 25,2015 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu Ukonga-Mombasa na Rombo Mahida, Mkoani Kilimanjaro. 
Habari ziwafikie ndugu jamaa na marafiki wote wa ukoo wa Tarimo na Shayo, popote pale wa lipo. 
Mwili
 wa marehemu unataraji kuagwa Oktoba 28,2015 kabla ya kusafirishwa siku 
hiyohiyo kwenda Mahida Rombo kwa maziko Alhamisi Oktoba 29,2015.
 
 
 
 
 
 

 
 
0 comments:
Post a Comment