CCM, Ukawa waporana majimbo
Wakati matokeo ya ubunge yakiendelea kutangazwa, CCM na vyama
vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vinazidi kunyang’anyana
majimbo vilivyokuwa vinayashikilia, yakiwamo majimbo yaliyokuwa
Wakati matokeo ya ubunge yakiendelea kutangazwa, CCM na vyama
vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vinazidi kunyang’anyana
majimbo vilivyokuwa vinayashikilia, yakiwamo majimbo yaliyokuwa chini ya
wabunge maarufu.
>>>>>>> Wakati CCM ikipora majimbo tisa hadi sasa
kutoka vyama vya Chadema, NCCR Mageuzi na CUF vinavyounda Ukawa, umoja
huo umejiimarisha zaidi kulinganisha na mwaka 2010 kwa kuweka chini ya
himaya yake majimbo 21 yaliyokuwa yanashikiliwa na CCM.
0 comments:
Post a Comment