Wafanyakazi
 wa  Benki ya CRDB mkoa wa Arusha  wakishindana kuvuta kamba katika 
viwanja vya Olasiti Garden leo katika sherehe za siku ya familia ya CRDB
 ambazo  hufanyika kila mwaka na kuhudhuriwa na familia za wafnayakazi 
wa benki pamoja na familia za wateja.
 Watoto
 wakimkimbiza kuku katika mashindano yaliyofanyika kwenye sherehe za  
siku ya familia ya CRDB ambazo  hufanyika kila mwaka na kuhudhuriwa na 
familia za wafanyakazi wa benki pamoja na familia za wateja
 Malindi band ya mkoani kilimanjaro ikitumbuiza
 sherehe za siku ya familia ya CRDB ambazo  hufanyika kila mwaka na 
kuhudhuriwa na familia za wafanyakazi wa benki pamoja na familia za 
wateja
| Mfanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la USA akikabidhi zawadi kwa mtoto | 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment