Magari matatu yamepata ajali mkoani Mbeya asubuhi ya leo iliyohusisha
 mabasi ya  Hood ya Mbeya na Arusha na basi la Bestline linalofanya safari 
zake Mbeya na Mwanza pamoja na lori eneo la Inyala Mbeya 
 Katika ajali hiyo mtu mmoja amejeruhiwa vibaya na wengine kupata majeraha madogo madogo.
 Kamanda wa polis Mkoani mbeya ACP AHMED MSANGI amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
 
 
 
 
 
 



 
 
0 comments:
Post a Comment