Mke 
wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana naRais Mstaafu wa
 Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo katika killele cha sherehe za 
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52,zilizofanyika katika 
uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,ambapo mgeni rasmi  wa Zanzibar na 
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
 Pichani
 kutoka kushoto Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi,Mke wa 
Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,Makamo wa Pili wa Rais Balozi 
Seif Ali Iddi na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis 
Mwamunyange wakiwa katika kilele cha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya 
Zanzibar kutimia miaka 52 katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja 
zilizofanyika leo
 Baadhi
 ya Wananchi na Maafisa mbali mbali wa Serikali wakiwa katika sherehe za
 Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52,zilizofanyika leo 
katika Uwanja wa Amaani Studium Mjini Unguja
  
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa akisalimiana na Jaji Mkuu wa 
Zanzibar Omar Othman Makungu wakati alipowasili katika uwanja wa Amaan 
Studium Mjini Unguja katika Kilele cha sherehe za Mapinduzi Matukufu ya 
Zanzibar kutimia miaka 52,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na
 Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Rais 
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana 
na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Mwamunyange 
katika kilele cha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia 
miaka 52 katika Uwanja wa Amaan Studium zilizofanyika leo.
 Rais 
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana 
na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein katika kilele cha 
Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52 katika Uwanja
 wa Amaan Studium zilizofanyika leo.
 Rais 
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
akiwapungia mkono wananchi walioshiriki katika kilele cha Sherehe za 
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52 katika Uwanja wa Amaan 
Studium leo akiwa katika gari maalum.
Rais 
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
akiteremka katika gari maalum alilopanda wakati akiwasalimia wananchi 
katika kilele cha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia 
miaka 52 katika Uwanja wa Amaan Studium leo.
 
 
 
 
 
 









 
 
0 comments:
Post a Comment