Waziri
 Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Waziri Mkuu, Mstaafu Frederick 
Sumaye  ambaye amelazwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili kwa 
matibabu Januari 12, 2016.
 Waziri
 Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (wapili kushoto) wakizungumza na 
Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amnaye amelazwa katika hospitali 
ya taifa ya Muhimbili kwa Matibabu Januari 12, 2016. Kushoto ni Mke wa 
Waziri Mkuu Mstaafu Mama Esther Sumaye. 
 Waziri
 Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Balozi Hassan Kibelloh ambaye 
amelazwa katik hospitali ya taifa y Muhimbili kwa Matibabu Januari 12, 
2016.
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment