Rais 
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mama Maria Nyerere, Mjane
 wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, na wanafamilia 
 alipokwenda nyumbani kwake Msasani kumfariji kufuatia kifo cha mkwe 
wake Marehemu Leticia Nyerere huko Maryland, Marekani. 
 Rais 
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimfariji  na Mama Maria Nyerere, Mjane 
wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,na wanafamilia 
 alipokwenda nyumbani kwake Msasani kumfariji kufuatia kifo cha mkwe 
wake Marehemu Leticia Nyerere huko Maryland, Marekani. 
 Rais 
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiagana na Mama Maria Nyerere, Mjane wa 
Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, na wanafamilia 
alipokwenda nyumbani kwake Msasani kumfariji kufuatia kifo cha mkwe wake
 Marehemu Leticia Nyerere huko Maryland, Marekani.
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment