Afisa
Mtendaji Mkuu wa Sanlam General Insuarence Ndugu Manasseh Kawaloka
Akitoa Hotuba yake Kwenye halfa ya Kampuni ya NIKO Insuarence Limited
Ilipobadili Jina na kuwa Sanlam General Insuarence.
Kampuni ya Bima Niko limited Imebadili jina na kuwa Sanlam General Insuarence Limited.
Mabadiliko hayo yanalenga Kupanua Wigo Na kuimarisha uwepo wake Nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa Jumla.Sanlam General Insuarence Itaendelea Kutoa Huduma Mbalimbali za BimaKwa Wateja Binafsi na Mashirika Nchini Tanzania.Huduma za Sanlam General Insuarence ni Pamoja na za Biashara na Binafsi kama vile Magari,Moto Na Nyinginezo.

Sanlam General Insuarence Yenye Makao Makuu yake Nchini Afrika
KusiniInamiliki 46%ya Hisa za Niko.Kupitia Kampuni yake Tanzu ya Masoko
yanayokua yaani Sanlam Emerging Markerts..
Picha ya Viongozo wa Kampuni ya Sanlan Pamoja na NIKO Insuarence wakiwa wameshikana mikono Mara baada ya Uzinduzi wa Sanlam General Insuarence.
Afisa
Mtendaji Mkuu wa Sanlam General Insuarence Ndugu Manasseh Kawaloka
Alisema Kuwa Sanlam Group ni Kampuni yenye Heshima Kubwa,Hivyo
Mabadiliko ya NIKO Insuarence Kuwa Sanlam General Insuarence Utaleta
Ufanisi wa Hali ya Juu Pamoja Utendaji wa Kibiashara Kwa Kampuni
Hiyo.Akieleza zaidi alisema Watanzania sasa watapata nafasi zaidi ya
Kupata Aina mbalimbali za Bidhaa za Bima Zenye ubunifu kufidia Majanga
Binafsinna ya Kibiashara .
Kampuni
ya Iliyobadili Jina Sanlam General Insuarence Inatoa Huduma Mbalimbali
za Bima Katika Wigo Mpana Kwa Wateja Binafsi Pamoja na Mashirika
Nchini Tanzania .Huduma Zitolewazo na Kampuni ya Bima ya Sanlam General
Insuarence Zinalenga Biashara na Watu Binafsi Kama Magari ,Moto
,Uhandisi pamoja na Bima Maalum.Kabla ya Kubadili Jina Kampuni ya NIKO
Insuarence Imekuwa Ikitoa Huduma Nchini Tangu Mwaka 2005.
Ndugu Josep Mungai Mkurugenzi Mtendaji wa Sanlam General Insuarence Akitoa Hotuba yake wakati wa Uzinduzi huo.
Mabadiliko ya NIKO Insuarence Limited kuwa Sanlam General Insuarence Yanafuatia Mabadiliko ya Kampuni ya African Life Assuarence ya Tanzania na Kuwa Sanlam Life Insuarence.Sanlam General Insuarence Inatoa utaalamu na Uzoefu wa Hali ya Juu kwa Wateja wake Pamoja na Wadua wengine wanaofanya kazi na Kampuni hiyo.

0 comments:
Post a Comment