Kama umetembelea mitandao ya kijamii
utakuwa umeona pilikapilika za kinachoendelea Dodoma sasahivi, baada ya
Uchaguzi Mkuu kuisha wale wote waliopita kwenye nafasi ya Ubunge
wanasubiri shughuli ya kuapishwa halafu Vikao vya Bunge vinaanza.
Nimeipata Ratiba ya kitakachoendelea Dodoma kwa jumla ya siku saba mfululizo, yani kuanzia jana November 13 mpaka November 20 2015… Ratiba yenyewe hii hapa.
Mbunge Mteule wa Jimbo Mwanga K’njaro, Prof. Jumanne Maghembe akiwasilisha nyaraka zake wakati wa kusajiliwa Bungeni Dodoma.
Mbunge Mteule wa Sengerema, William Ngeleja nae kwenye foleni ya usajili katika Viwanja vya Bunge Dodoma.
0 comments:
Post a Comment