|  | 
| Maafisa wa Bunge wakipokea nyaraka toka kwa wabunge wateule katika zoezi lililoanza leo Mjini Dodoma. | 
| Wabunge wateule wakipiga picha kwa ajili ya vitambulisho vitakavyotumika kwa ajili ya matumizi ya Bunge Leo Mjini Dodoma | 
|  | 
| Mbunge wa Jimbo la Mwanga Mkoani Kilimanjaro Mh. Jumanne Maghembe akikabidhi nyaraka zake wakati wa zoezi la usajili linaloendelea leo Mjini Dodoma. | 
|  | 
| Mbunge wa Jimbo la Sengerema Willium Ngeleja akisajili kwa Afisa wa bunge | 
| Maafisa wa benki wakiwapa maelezo wabunge wakati wa zoezi la usajili linaloendelea Mjini Dodoma | 
| Maafisa wa Bunge wakimkabidhi nyaraka Moja ya Mbunge wakati wa Zoezi la Usajili leo Mjini Dodoma | 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment