Makamu wa Rais wa Jamhuri ya 
Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akihutubia wakati wa 
hafla maalumu ya kuliombea Taifa Amani, iliyoandaliwa na Kamati ya 
Amani,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es 
Salaam jana Nov 7, 2015. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya 
Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akipokea zawadi kutoka 
kwa Mkurugenzi wa Agape Television Network (ATN) Dkt. Anny Fernandes, 
wakati wa  hafla maalumu ya kuliombea Taifa Amani, iliyoandaliwa na 
Kamati ya Amani,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini 
Dar es Salaam jana Nov 7, 2015. Picha na OMR
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli,
 akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa Agape Television Network (ATN)
 Dkt. Anny Fernandes, wakati wa  hafla maalumu ya kuliombea Taifa Amani,
 iliyoandaliwa na Kamati ya Amani,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond 
Jubilee, jijini Dar es Salaam jana Nov 7, 2015. Picha na OMR
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, 
Said Mecky Sadik, akizungumza wakati wa hafla hiyo iliyofanyika kwenye 
Ukumbi wa Diamond Jubilee, jana. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya 
Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akiagana na baadhi ya 
wananchi waliohudhuria hafla ya kuliombea Taifa amani wakati akiondoka 
ukumbini baada ya kuhutubia katika hafla maalumu ya kuliombea Taifa 
Amani, iliyoandaliwa na Kamati ya Amani,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa 
Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam jana Nov 7, 2015. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya 
Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akishiriki dua ya pamoja
 na baadhi ya viongozi, iliyoandaliwa na Kamati ya Amani Tanzania, 
iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jana Nov 7 2015. Picha na 
OMR
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa, akizungumza wakati wa hafla hiyo, alipokuwa akiomba dua maalumu. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya 
Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na baadhi 
ya wananchi waliohudhuria hafla ya kuliombea Taifa amani wakati 
alipokuwa akiwasili kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee kwa ajili ya 
kuhudhuria hafla maalumu ya kuliombea Taifa Amani, iliyoandaliwa na 
Kamati ya Amani, jijini Dar es Salaam jana Nov 7, 2015. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya 
Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Kamanda 
Suleiman Kova, wakati alipokuwa akiwasili kwenye Ukumbi wa Diamond 
Jubilee kwa ajili ya kuhudhuria hafla maalumu ya kuliombea Taifa Amani, 
iliyoandaliwa na Kamati ya Amani, jijini Dar es Salaam jana Nov 7, 2015.
 Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya 
Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Katibu 
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Libelata 
Mulamula, wakati alipokuwa akiwasili kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee 
kwa ajili ya kuhudhuria hafla maalumu ya kuliombea Taifa Amani, 
iliyoandaliwa na Kamati ya Amani, jijini Dar es Salaam jana Nov 7, 2015.
 Picha na OMR
Baadhi ya viongozi wakiwasili kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee
Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Taifa
 Bara, Philip Mangula akiteta jambo na aliyekuwa mgombea urais wa Chama 
cha TLP, Maximillian Lymo, wakati walipokuwa kwenye hafla maalumu ya 
kuliombea Taifa Amani, iliyoandaliwa na Kamati ya Amani, jijini Dar es 
Salaam jana Nov 7, 2015. Picha na OMR
 Sheikh Alhad Mussa, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa dini ukumbini humo.
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment