Ikiwa leo Novemba 5, 2015 ndio Dk. 
Jakaya Mrisho Kikwete amemaliza muda wake wa kuongoza Jamhuri ya 
Muungano wa Tanzania, huku Dk.John Pombe  Magufuli akiapishwa kama rais 
wa awamo wa 5 wa kuliongoza taifa hili.
Sasa kupitia kwenye akaunti ya twitter 
ya Jakaya Mrisho Kikwete ameyaandika haya maneno kuhusu kulitumika taifa
 la Tanzania kwa miaka 10..’Miaka 10 
imekwisha. Imekuwa safari nzuri na yenye mafanikio makubwa kwa nchi 
yetu. Taifa letu litabaki salama. Nawatakia kila la kheri’ – Kikwete
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment