Dk.Magufuli wakati akila kiapo
anzania imeingia katika vyombo vya habari mbalimbali baada ya kupata rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli aliyeapishwa leo kwenye uwanja wa Taifa
Katika sherehe hizo za kuapishwa kwa 
rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Marais kutoka nchi mbalimbali 
walidhuhuria akiwemo, Jacob Zuma, Robert Mugabe, Kenyatta, Paul Kagame, Yoweri Museven


 
 
 
 
 
 











 
 
0 comments:
Post a Comment