Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa 
akimkabidhi  Bw.Bakari Amir pampu  mbili za kusukuma maji na mipira 
yake, Mwenyekiti wa kikundi cha kufyatua matofali ya kuchoma cha 
Jitumecha kilichopo eneo la Gogovivu wilayani Ruangwa  Desemba 23, 
2015.  Pampu hizo zitawapunguzia wnakikundi mzigo wa kubeba maji toka 
mtoni. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa 
akimkabidhi funguo na kadi ya pikipiki Mwenyekiti wa kikundi cha 
Bodaboda Mkowe cha kijiji cha Nandagara, Yahya Chitanda ambayo 
ameikipatia kikundi hicho  Desemba 23, 2015 ili kiweze kukuza mtaji 
wake. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na maofisa wa jeshi la Polisi wakati alipotembelea kituo kikuu cha polisi zcha wilaya ya Ruangwa kusalimana na Askari Desemaba 23, 2015. Wapili kushoto ni mkewe Mary na watatu kushoto ni Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Lindi, Renata Mzinga.
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment