Afisa
 Ustawi wa Jamii kutoka Sekretarieti ya Mkoa wa Dodoma Bi. Ziada Nkinda 
(Aliyebeba Mtoto) akikabidhi zawadi za siku kuu ya Noeli (Christmas) 
zilizotolewa na Mhe. Rais John Pombe Magufuli kwa watoto wanaoishi 
kwenye kituo cha kuhudumia watoto cha kijiji cha matumaini Mkoani 
Dodoma.
Meneja
 wa kituo cha kuhudumia watoto cha kijiji cha matumaini kilichopo Dodoma
  Padiri Vicent, kwa niaba ya watoto wa kituo hiko, akimshukuru Bi. 
ziada Nkinda kwa kukabidhi zawadi zilizotolewa na Mhe. Rais John Pombe 
Magufuli zikijumuisha mchele kilo 121, Mbuzi wawili na mafuta ya kupikia
 lita 40 vyote vikiwa na thamani ya zaidi ya laki sita.
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment