Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na balozi wa Kuwait hapa
nchini Mhe. Jasem Al Najem Ikulu jijini Dar es salaam leo Disemba 23,
2015.
Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Mjumbe Maalum wa Rais Paul
Kagame wa Rwanda ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe.
Louise Mushikwabo Ikulu jijini Dar es salaam leo Disemba 23, 2015.
Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na balozi wa Uswisi hapa nchini
Mhe. Florence Tinguely Ikulu jijini Dar es salaam leo Disemba 23, 2015.
0 comments:
Post a Comment