Mkuu
 wa Mkoa wa Dar es Salaam,Said
Meck Sadick akipanda kwenye mtambo maalum wa kuchimbia mitalo 
(Scaveter), wakati wa uzinduzi uliofanyika leo jijini Dar,Mtambo huo 
umenunuliwa na Manispaa ya Kinondoni  kwa  thamani zaidi ya Sh. Milioni 
600. 
Mkurugenzi wa Manispaa ya
Kinondoni ,Mussa Natty akimshukuru Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Said Meck
Sadick baada ya kuzindua scaveter iliyonunuliwa na Manispaa hiyo leo  katika viwanja vya Manispaa , jijini Dar es
Salaam.picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya Jamii
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment