SPIKA 
WA BUNGE, JOB NDUGAI AMEREJEA LEO KUTOKA INDIA ALIKOKUWA KWA AJILI YA 
MATIBABU. AWASHUKURU WATANZANIA KWA MAOMBI YAO. AELEZEA HALI YAKE KUWA 
NI IMARA KABISA.
 Spika
 wa Bunge Mhe. Job Ndugai akilakiwa na Naibu Spika wa Bunge Mhe. Tulia 
Ackson mara baada ya kuwasili katika uwanja Ndege wa Kimataifa wa 
Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nchini India alikokuwa 
kwa ajili ya matibabu.

 wa Bunge Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Naibu Waziri wa Nishai na 
Madini Mhe. Medard Kalemani mara baada ya kuwasili katika uwanja Ndege 
wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nchini 
India alikokuwa kwa ajili ya matibabu. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge 
Mhe. Tulia Ackson na Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa 
na Michezo Mhe. Anastazia Wambula na aliyeko kulia ni Katibu wa 
 
0 comments:
Post a Comment