Katibu
 Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Khadija Bakari Juma 
akitoa ufafanuzi kwa Wadau waliohudhuria hafla ya Utiaji Saini wa 
Mikataba miwili ya Ujenzi baina ya Wizara yake na Makandarasi kutoka 
M/S. Hamphrey Construction Limited ya Arusha na Mindset Teches (T) ya 
Dar es Salaam Hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Wizara ya Elimu 
Zanzibar.
 Wadau mbalimbali waliohudhuria katika sherehe za kutiliana saini mikataba hiyo.
  Katibu
 Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Khadija Bakar Juma na
 Mkandarasi wa Kampuni ya M/s.Humphrey Construction Limited ya Arusha 
wakitiliana saini Mkataba wa kupanua Taasisi ya Maendeleo ya Utalii 
iliopo Maruhubi.
 Katibu
 Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Khadija Bakar Juma na 
Mkurugenzi wa Kampuni ya Ujenzi M/s. Humphrey Construction Limited ya 
Arusha wakibadilishana Mikataba baada ya kutiliana saini.
 
 
 
 
 
 




 
 
0 comments:
Post a Comment