Mkurugenzi
Msaidizi Kitengo cha Sanaa kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni
na Michezo Leah Kihimbi akitoa hotuba katika Warsha ya siku mbili kuhusu
wasanii wanawake kupinga ukatili wa kijinsia, mafunzo hayo yamefanyika
ili kuhitimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia na kusheherekea
siku ya msanii Tanzania iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Rais
wa Shirikisho la Sanaa za Maonyesho Tanzania Agnes Lukanga akitoa mada
katika warsha ya siku mbili kuhusu wasanii wanawake kupinga ukatili wa
kijinsia, mafunzo hayo yamefanyika ili kuhitimisha siku 16 za kupinga
ukatili wa kijinsia na kusheherekea siku ya msanii Tanzania iliyofanyika
jijini Dar es Salaam leo.
0 comments:
Post a Comment