Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, 
akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Geita Mhe. Fatma Mwassa alipowasili Uwanja 
wa Ndege wa GGM Geita leo Januari 04,2016 kwa ajili ya kuanza ziara ya 
siku mbili  ya kukagua  na kuzindua miradi ya maendeleo Mkoani humo.
 Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, 
akisalimiana na akina mama wa UWT Geita alipowasili Uwanja wa ndege wa 
GGM Geita Leo Januari 04, 2016 kwa ajili ya kuanza ziara ya siku mbili 
ya kukagua na kuzindua mirdeleo Mkoani humo
 Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, 
akisalimiana na baadhi ya wawekezaji wa Mgodi wa GGM Mkoani  Geita 
alipowasili Uwanja wa ndege wa GGM Geita Leo Januari 04, 2016 kwa ajili 
ya kuanza ziara ya siku mbili ya kukagua na kuzindua miradi ya maendeleo
 Mkoani 
 
0 comments:
Post a Comment