Waziri
 Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mahindi yaliyohifadhiwa nje ya majengo 
ya maghala ya  Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula NFRA mjini Songea  
akiwa katika ziara ya siku tatu mkoani Ruvuma Januari 4, 2016. (Picha na
 Ofisi ya Waziri  Mkuu)

akiwa katika ziara ya siku tatu mkoani Ruvuma Januari 4, 2016.  
 Waziri
 Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Jego la Halmashauri ya Wilaya 
ya Peramiho akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Januari 4, 2015.  
 Waziri
 Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wananchi wa kijiji cha Maposele 
wilayani  Peramiho baada ya kukagua ujenzi wa  jingo la Ofisi ya 
Mkurugenzi wa wilaya hiyo akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma  Januari 
4, 2016. (PIcha na Ofisi a Waziri Mkuu
 Waziri
 Mkuu, Kassim Majaliwa akifungungua tawi la Benki ya Posta la Songea 
akiwa katika ziara ya mkoa wa  Ruvuma Januari 4, 2016. Kulia ni Waziri 
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge, Sera, Uratibu, Ajira na Walemavu, 
Jenista Mhagama .
 Waziri
 Mkuu, Kassim Majliwa akitazama kadi ya akaunti yake ya Benki ya Posta 
Tanzania aliyokabidhiwa  baada ya kuifungua alipokuwa akifungua tawi la 
Benki hiyo la Songea Januari 4, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri
 Mkuu, Kassi Majaliwa akiagana na watuMishi wa Benki ya Posta, Tawi la 
Songea baada ya kufungua tawi lao Januari 4, 2016. Alikuwa katika ziara 
ya mkoa wa Rukwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
(Picha na Ofisi ya Waziri  Mkuu)
  Waziri
 Mkuu, Kassim Majliwa akivalishwa vazi la jadi la  Wangoni baada ya 
kuwasili kwenye   kwenye kijiji cha Maposele  na kukagua ujenzi wa Ofisi
 ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Peramiho Januari 4, 2016. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  Waziri
 Mkuu, Kassim Majliwa akikabidhiwa  ngao silaha  na mzee Daniel Gama  
baada ya kuwasili kwenye kijiji cha Maposele  na kukagua ujenzi wa Ofisi
 ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Peramiho Januari 4, 2016. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri
 Mkuu, Kassim Majliwa akikabidhiwa silaha za jadi na mzee Daniel Gama  
baada ya kuwasili kwenye kijiji cha Maposele  na kukagua ujenzi wa Ofisi
 ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Peramiho Januari 4, 2016. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  Waziri
 Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngoma ya mila ya kabila la Wangoni 
wakati alipowasili    kwenye kijiji cha Maposele  na kukagua ujenzi wa 
Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Peramiho Januari 4, 
2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
0 comments:
Post a Comment