Kaimu Mkurugenzi Mkuu Mfuko wa NHIF, Michael Mhando akizungumza wakati wa makabidhiano ya kituo cha
kisasa cha uchunguzi na matibabu kilichojengwa katika hospitali ya rufaa ya Mkoa
wa Dodoma.
Mkurugenzi mtendaji kampuni ya ujenzi Tanzania Building Works Ltd, Mohamed Iqbal Moray(kushoto), akimkabidhi funguo za kituo cha
kisasa cha uchunguzi na matibabu kilichojengwa katika hospitali ya rufaa ya Mkoa
wa Dodoma, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa NHIF Michael Mhando.
Mkurugenzi wa Fedha, Mipango na uwezeshaji wa mfuko wa NHIF, Deusdedit Rutazaa akizungumza wakati wa makabidhiano ya kituo cha
kisasa cha uchunguzi na matibabu kilichojengwa katika hospitali ya rufaa ya Mkoa
wa Dodoma
Wafanyakazi wa mfuko wa NHIF na wa Hospitali ya rufaa ya Dodoma wakishiriki makabidhiano ya kituo cha
kisasa cha uchunguzi na matibabu kilichojengwa katika hospitali ya rufaa ya Mkoa
wa Dodoma.
Jengo la ujenzi wa kituo cha
kisasa cha uchunguzi na matibabu kilichojengwa katika hospitali ya rufaa ya Mkoa
wa Dodoma
Sehemu ya jengo la ujenzi wa kituo cha

MFUKO wa Taifa
wa Bima ya afya(NHIF) umekamilisha ujenzi wa kituo cha
kisasa cha uchunguzi na matibabu kilichojengwa katika hospitali ya rufaa ya Mkoa
wa Dodoma ambacho kitasaidia kupunguza msongamano
wa wagonjwa katika hospitali hiyo.
Akizungumza
katika makabidhiano ya jengo hilo, Kaimu Mkurugenzi wa NHIF, Michael
Mhando, alisema kituo hicho kitakuwa cha kisasa na kitatoa huduma mbalimbali
ikiwemo huduma za CT-Scan na kitafunguliwa kabla ya mwezi januari mwakani ili
“NHIF umelipatia ufumbuzi
tatizo la msongamano wa wagonjwa katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma baada ya kukamilisha
ujenzi wa jengo hili ambalo limegharimu kiasi cha sh. Bilioni sita ikiwa ni
pamoja na vifaa vya matibabu na samani,”alisema Mkurugenzi huyo.
Alisema
ujenzi wa huo umeanza tangu mwaka 2008 na litakuwa na uwezo wa kuchukua vitanda
34 vya
wagonjwa.
wagonjwa.
“Kituo hichi
kitakuwa na vyumba vya madaktari, maabara, upasuaji, chumba cha kutolea
dawa, mapokezi, chumba cha wagonjwa mahututi,
chumba cha dharura, mfumo wa miito ya wauguzi, na vifaa tiba vya kisasa,”alisema
Mhando
Alisema kitatoa
huduma kwa wanachama wa mfuko huo, wananchi wa Mkoa wa Dodoma na mikoa jirani.
0 comments:
Post a Comment