skip to main  |
      skip to sidebar
          
WILFRED LWAKATARE WA CHADEMA AIBUKA KIDEDEA UBUNGE BUKOBA MJINI. 
 
 Hatimaye
 Mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa chama cha demokrasia na maendeleo 
-Chadema Bw. Wilfred Muganyizi Lwakatare ameibuka kidedea leo hii kuwa 
Mbunge wa Bukoba Mjini akiibuka kidedea dhidi ya aliyekuwa Mbunge wa 
Jimbo la Bukoba Mjini kwa tiketi ya CCM, Khamis Kagasheki. Matokeo hayo 
yametanga usiku huu punde na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Bukoba mjini
 Bw. Aron T. Kagurumjuli. Kura za Udiwani Chadema/ Ukawa imeshinda Kata zifuatazo: Kahororo, Kagondo, Kibeta, Kitendaguro, Nshambya, Hamugebe, Kashai, Bakoba na Bilele. CCM imepata Kata ya Rwamishenye, Buhembe, Miembeni, Nyanga na Ijunganyondo. Picha na Faustine Ruta, Bukoba

 Msimamizi
 wa Uchaguzi Jimbo la Bukoba mjini Bw. Aron T. Kagurumjuli akitoa 
matokeo usiku huu wa saa 2:30 na kumtangaza Lwakatare kwamba ndie 
mshindi na Nafasi hiyo ya Ubunge Bukoba Mjini.

 Bw. Aron T. Kagurumjuli (Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Bukoba mjini) akiendelea na zoezi la kutangaza matokeo usiku huu.

 Mshindi
 wa nafasi ya Ubunge wa Bukoba Mjini Bw. Wilfred Muganyizi Lwakatare 
kupitia Chama cha CHADEMA akifurahia baada ya kuibuka kidedea katika 
kinyang'anyiro hicho baada ya kumwangusha mgembea mwenza aliyekuwa 
Mbunge wa Jimbo hilo la Bukoba Mjini kwa tiketi ya CCM, Khamis Sued 
Kagasheki usiku huu. Picha na Faustine Ruta, Bukoba

 LICHA
 ya kuonekana kana kwamba hapakuwa na  dalili zozote za fujo wakati wa 
zoezi la upigaji kura za Ubunge na udiwani, hali ilibadilika leo 
jumatatu asubuhi  baada ya wafuasi wa chama cha Chadema kutaka matokeo 
mapema baada ya kupata matokeo hayo usiku wa kuamkia leo hii kuwa 
Chadema imeshinda katika Kata 9 kati ya 14 wafuasi hao waliandamana 
katika maeneo ya mji wa Bukoba wakitaka majibu yatolewe mapema. Kitu 
ambacho hakikufanyika na Jioni hii kuleta kasheshe na ghasia. Hali hiyo 
ilisababisha polisi wa kutuliza ghasia kuingilia kati na kuwatawanya 
vijana hao ambao mpaka usiku huu walikuwa wamepandwa na jazba katika 
eneo la ofisi za Halmashauri ya Bukoba. Vurugu zikiwemo kurushiana mawe 
zilitokea. Ndipo polisi walitumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi
 waliokusanyika katika Ofisi za Halmashauri na kuanza kurusha mawe 
wakishinikiza kutangazwa kwa matokeo ya ubunge. Hali hiyo ilitulia baada
 ya Viongozi wa Chadema kuwatuliza na ndipo Matokeo yakatangazwa.

Taarifa
 zinasema kuwa kulikuwa na mchuano mkali kati ya wagombea hao wawili 
ambao ni Wilfred Lwakatare  wa chama cha Chadema na aliyekuwa Mbunge wa 
Bukoba Mjini kupitia chama cha  CCM Khamis Sued Kagasheki. Kitu 
kilichopelekea kurudiwa kuhesabiwa kwa kura zote na kupata uhakika wa 
kutosha.
 Kura zilizokubalika ni 54,211 sawa na 
asilimia 98.54, kura zilizoharibika ni 805 sawa asilimia 1.46, Matokeo 
ni kama ifuatavyo TLP kura 81 sawa na asilimia 0.2, ACT kura 453, Khamis
 Sued Kagasheki wa CCM amepata kura 25,565 sawa na asilimia 47.2, 
Wilfred Muganyizi Lwakatare wa Chadema amepata kura 28,112 sawa na 
asilimia 51.9

asilimia 51.9 Wafuasi
 wa Chadema walionekana wakiwa wamekusanyika katika Ofisi za Halmashauri
 Bukoba  wakidai kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa huo wa  Wabunge.
Wafuasi

 Vingozi
 wa Chama cha Chadema wakiteta jambo, kushoto) ni Bw. Chief Kalumuna 
Mshindi wa Udiwani Kata ya Kahororo aliyeshinda kiti hicho katika 
Uchaguzi huu wa 2015. (Kulia) ni Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na 
maendeleo Chadema wilaya ya Bukoba Victor Sherejei.

 Bw.
 Wilfred Lwakatare kupitia Chama cha CHADEMA akiteta jambo na Diwani wa 
Kata ya Kahororo kupitia Chama cha Chadema katika Ofisi za Halmashauri 
ya Bukoba mjini huku wakisubiri matokeo ya Ubunge Bukoba Mjini.

 Bw. Wilfred Lwakatare kupitia Chama cha CHADEMA

 Mwenyekiti
 wa chama cha demokrasia na maendeleo Chadema wilaya ya Bukoba Victor 
Sherejei (kulia) mbele akiteta na Chief Kalumuna Diwani wa kata kahororo
 wakibadilisha mawazo wakati wakisubiri matokeo usiku huu.
Mwenyekiti
 wa chama cha demokrasia na maendeleo Chadema wilaya ya Bukoba Victor 
Sherejei (kulia) mbele akiteta na Chief Kalumuna Diwani wa kata kahororo
 wakibadilisha mawazo wakati wakisubiri matokeo usiku huu. Waandishi wa habari na Makada wa Chama cha Chadema wakiwa katika Ofisi za Halmashauri ya Bukoba
Waandishi wa habari na Makada wa Chama cha Chadema wakiwa katika Ofisi za Halmashauri ya Bukoba
 Kidedea...Chif Kalumuna(kulia) wa Kata ya Kahororo akiwa amembeba mshindi bw. Wilfred Lwakatare

 wa Chadema walionekana wakiwa wamekusanyika kutaka kuvamia Ofisi za 
Halmashauri ya Bukoba kudai kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa 
wabunge na Polisi walikuwa tayari kuwakabili vilivyo na kuzuia umati huo
 mkubwa.

 Wafuasi wa Chadema wakitaka Matokeo yatolewa baada ya kuchukuwa muda tangu asubuhi mpaka jioni hii.

 Taswira jioni hii maeneo ya karibu na Ofisi za Halmashauri.

 Hapa
 ikabidi kiongozi wa Chadema aliyeshinda katika Kata ya  Kashai kupitia 
chama hicho awatulize kwamba matokeo yanaenda kutolewa jioni hii.

 Wafuasi wa Chadema wakitaka Matokeo
Wafuasi wa Chadema wakitaka Matokeo
 Wafuasi wa Chadema wakitaka Matokeo ya Kiongozi wao.

0 comments:
Post a Comment