Mwenyekiti
 wa Timu ya Boko Beach Veterans (BBV), Danny Ole a.k.a Aguero (wa nne 
toka kushoto) akimkabidhi zawadi ya mpira Mchezaji bora wa Mwezi Oktoba,
 Henry Horombe (wa nne toka kulia), baada ya kuonyesha kiwango kizuri 
kwa kipindi chote cha mwezi mwezi huo 2015. Zawadi hizo hutolewa na mdau
 mkubwa wa soka nchini na mmiliki wa maduka ya Zizzou Fashion, Othman 
Tippo Shaaban ambaye nae ni mwanachama wa timu hiyo.
Sehemu
 ya wachezaji wa Timu ya Boko Beach Veterans (BBV) wakimpongeza mchezaji
 mwanzao aliebuka kidedea na kutwaa taji la Mchezaji bora wa Mwezi 
Oktoba, Henry Horombe (katikati) mara baada ya mtangango uliopigwa 
mapema leo asubuhu katika uwanja wa Boko.
 Timu ya Boko Beach Veterans (BBV) ikiwa imegawanyika katika mchezo wa mazoezi mapema 
 
 
 
 
 
 




 
 
0 comments:
Post a Comment