Rais Dkt.John Pombe Magufuli 
akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama Tawala
 Cha China Mhe.Zhang Ping ikulu jijini Dar es Salaam leo.Bwana Zhang 
alimwakilisha Rais wa China katika sherehe za kuapishwa Rais wa Awamu ya
 Tano(picha na Freddy Maro). 
Rais
 Dkt.John Pombe Magufuli 
akipiga picha  na kufanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama 
Tawala Cha China Mhe.Zhang Ping ikulu jijini Dar es Salaam leo.Bwana 
Zhang alimwakilisha Rais wa China katika sherehe za kuapishwa Rais wa 
Awamu ya Tano kulia ni Balozi wa China nchini Tanzania Mh.  Lu Youqing 
 na kushoto ni  Mh.Balozi  Abdulrahman Shimbo Balozi wa Tanzania nchini 
China 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment