Katibu Mkuu Wizara ya
Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel(wa tano  kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja
na mabalozi wa nchi za Asia katika uzinduzi wa maonyesho ya 10 ya filamu za
Asia.
 Katibu Mkuu Wizara ya
Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akifungua maonyesho
ya 10 ya Filamu za Asia.Pembeni yake ni mabalozi wa nchi mbalimbali za Asia
walihoudhuria uzinduzi huo.Maonyesho Hayo 
yatafanyika  kuanzia tarehe 8-17
desemba katika ukumbi wa Century Cinemax Dar Free Market Oysterbay.
Balozi wa Japan nchini Tanzania Bw,Masaki
Okada(wa kwanza kushoto) akizungumza jambo na Katibu Mkuu Wizara ya
Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel(katikati)
wakati wa uzinduzi  wa maonyesho ya 10 ya
filamu za Asia.Aliyesimama pembeni yao ni katibu mtendaji wa Bodi ya Filamu
nchini Tanzania Bi.Joyce Fisoo. 
Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bi.Joyce
Fisoo akifurahia jambo wakati  wa
ufunguzi wa maonyesho ya 10 ya Filamu za Asia katika ukumbi wa Dar free Market
jijini Dar es salaam.
 
 
 
 
 
 




 
 
0 comments:
Post a Comment