Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. John Mngodo
akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya Kamishna Jenerali wa Magereza
alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi la Magereza Novemba 13, 2015.
Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja akitoa taarifa fupi ya
Hali ya Magereza nchini kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Bw. John Mngodo(katikati). Naibu Katibu Mkuu yupo katika
ziara ya kikazi katika Idara mbalimbali zinazounda Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi(wa kwanza kulia) ni Mkurugenzi Msaidizi wa Utawala, Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Stephen Pancras.
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. John Mngodo
akiongea na Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza(hawapo pichani).
Kushoto ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja.
0 comments:
Post a Comment