DOLE LA KATI LA MBUNGE MR SUGU LILILOSABABISHA AFUNGIWE BUNGENI
Mbunge
wa Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Mr Sugu' akiwaonesha wabunge
wa CCM dole la kati Bungeni Dodoma hivi karibuni, kitendo ambacho
kilitafsiliwa na Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuwa ni
tusi, hivyo kupewa adhabu ya kutohudhuria vikao kumi vya Bunge.
0 comments:
Post a Comment