skip to main |
skip to sidebar
'ELIMU NI MUHIMILI WA TAIFA', UNGANA NA CAMPUS VYBEZ NDANI YA PROTEA HOTEL
Ili
kupambana na changamoto za ajira Nchini kama kijana hususani mwanafunzi
wa elimu ya juu, unaitaji mbinu mbadala za kujikwamua kimaisha.
#CampusVybez ya #TimeFm @timesfmtz @sandytemu @djj_one @ inakukutanisha
wewe kijana na Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu kazi ajira na vijana
Antony Mavunde, kuzungumzia mbinu za kujikwamua kwenye ajira
@anthonymavunde Jumamosi hii Protea Hotel, saa mbili kamili asubuhi.
0 comments:
Post a Comment