Katibu Mkuu
Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole
Gabriel(Katikati) akiongea na wadau wa utamaduni kutoka UNESCO pamoja na Idara ya Maendeleo ya Sanaa na
Utamaduni katika kikao cha kujadili
mpango mkakati wa miaka mitano wa maendeleo ya Utamaduni nchini,leo jijini Dar
es Salaam.
Katibu Mkuu
Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel(kulia)
akimsikiliza Afisa Utamaduni kutoka UNESCO Bw.Louise Crayssac katika kikao cha
kujadili mpango mkakati wa miaka mitano wa maendeleo ya Utamaduni nchini,leo jijini Dar
es Salaam.
Katibu Mkuu
Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel(kulia)
akimsikiliza Afisa Utamaduni kutoka UNESCO Bw.Halvor Storrusten katika kikao
cha kujadili mpango mkakati wa miaka mitano wa maendeleo ya Utamaduni nchini, jijini Dar es
Salaam.
Katibu Mkuu
Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel(kulia)
akimsikiliza Afisa Utamaduni kutoka UNESCO Bi.Halvor Rehema Sudi katika kikao
cha kujadili mpango mkakati wa miaka mitano wa maendeleo ya Utamaduni nchini, jijini Dar es
Salaam.
Katibu Mkuu
Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel(kulia)
akiwa katika picha na wageni kutoka UNESCO na Idara ya Maendeleo ya Utamaduni
na Sanaa baada ya kumalizika kikao kilichokuwa kikijadili mpango mkakati wa
miaka mitano wa maendeleo ya Utamaduni nchini,leo
jinini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment