Pages

Ads 468x60px

Monday, November 23, 2015

Airtel Fursa yawafikia wajasiliamali wadogo wadogo Dodoma


      
 Meneja uhusiano wa Airtel Jackosn Mmbando akielezea kwa wajasiliamali wadogo wadogo jinsi vijana wanavyoweza kufanya ili kufaidika na mradi wa Airtel Fursa muda mfupi kabla ya kuanja kwa mafunzo yao yaujasiliamali yaliyodhaminiwa na Airtel Fursa maalum kwa vijana wa Dodoma mwishoni mwa wiki hiii.
 Mwalimu wa ujasiliamha katika semina ya Airtel FURSA Dokta Robert Mashenene ambae pia ni muadhiri wa chuo cha biashara cha CBE Dodoma akifafanua jambo kwa vijana waliohudhuria semina ya Airtel Fursa mkoaniDodoma kuhusu jinsi kijana anavoweza kukamata fursa na kuzitumia fursa zinazonazomzunguka kuleta maendeleo kwa jamii.*
 Mmoja wa vijana Godlove Mato akipokea cheti cha ushiriki wa mafunzo
ya ujasiliamali toka kwa meneja uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando, mafunzohayo yaliandaliwa na mradi wa kuwawesha vijana wa Airtel Fursa mkoni Dodoma mwishoni mwa wiki.

0 comments:

Post a Comment

 
Blogger Templates