Meneja
Mkuu wa kiwanda cha kuzalisha mafuta ya alizeti cha Glory Farm &
Agricultural Products, Justin Nyamoga akitoa maelezo jinsi kiwanda hicho
kinavyofanya kazi zake kwa Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Umoja
wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro
Rodriguez (wa pili kushoto) aliyeambatana na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika
la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Awa Dabo (kushoto), Mwakilishi
Msaidizi wa Shirika la UNFPA, Dk. Hashina Begum (kulia) pamoja na
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la FAO nchini, Patric Otto kukagua miradi
inayofadhiliwa na Umoja wa Mataifa mjini
Pichani
ni madumu yaliyojazwa mafuta ya alizeti kiwandani hapo yakisubiri
kuwekwa nembo maalum na tayari kuingia sokoni kwa mlaji..
Pichani juu na chini ni miche na vitalu vya Zabibu kabla ya kupelekwa shambani.
0 comments:
Post a Comment