Mgeni Rasmi, Naibu Katibu Mkuu,
Wizara ya Fedha, Prof. Adolf Mkenda akihutubia wadau mbalimbali wa
takwimu katika maaadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yaliyofanyika leo
Jijini Dar es Salaam ambayo yameongozwa na kauli mbiu ya “Takwimu Bora
kwa Maisha Bora”.
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa
ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa akitoa maelezo ya utangulizi katika katika
maaadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yaliyofanyika leo Jijini Dar es
Salaam ambayo yameongozwa na kauli mbiu ya “Takwimu Bora kwa Maisha
Bora”
Mkuu wa Kitengo cha Teknolojia,
Habari na Mawasiliano Dkt. Carina Wangwe kutoka Mamlaka ya Usimamizi na
Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) akielezea umuhimu wa
kujiunga katika Mifuko ya Hifadhi za Jamii wakati wa maaadhimisho ya
Siku ya Takwimu Afrika yaliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam ambayo
yameongozwa na kauli mbiu ya “Takwimu Bora kwa Maisha Bora”.
Mkuu wa Chuo cha Takwimu Mashariki
mwa Afrika Prof. Innocent Ngalinda akielezea umuhimu wa takwimu rasmi
katika kupanga na kutathmini programu mbalimbali za maendeleo nchini
wakati wa maaadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yaliyofanyika leo
Jijini Dar es Salaam ambayo yameongozwa na kauli mbiu ya “Takwimu Bora
kwa Maisha Bora”.
Baadhi ya wadau mbalimbali wa
takwimu wakifuatilia kwa makini matukio yaliyokuwa yakiendelea kwenye
maaadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yaliyofanyika leo Jijini Dar es
Salaam ambayo yameongozwa na kauli mbiu ya “Takwimu Bora kwa Maisha
Bora”.
Mwenyekiti wa Bodi ya Ofisi ya
Taifa ya Takwimu Prof. Milline Mbonile akiwa katika picha ya pamoja na
viongozi wa ofisi hiyo pamoja na viongozi wa Chuo cha Takwimu Mashariki
mwa Afrika baada ya kumaliza maaadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika
yaliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam ambayo yameongozwa na kauli mbiu
ya “Takwimu Bora kwa Maisha Bora
0 comments:
Post a Comment