Wanafunzi kutoka Uturuki na Bosnia wakiwa katika Boti kuelekea katika
kisiwa cha Tumbatu kwa ajili ya kuwatembelea wanafunzi wa madrasa na
wananchi mbalimbali katika ziara yao ya siku mbili ili kujenga urafiki
baina yao na watu wa Zanzibar.
Wanafunzi kutoka Uturuki na Bosnia wakiwa katika Kisiwa cha Tumbatu kwa
ajili ya kuwatembelea wanafunzi wa madrasa na wananchi mbalimbali katika
ziara yao ya siku mbili ya kujenga urafiki baina yao na watu wa
Zanzibar.
Wanafunzi kutoka Uturuki na Bosnia wakiwasalimia wanafunzi wa madrasa na
walimu waliokuja kuwa pokea katika Kisiwa cha Tumbatu katika ziara yao
ya siku mbili ya kujenga urafiki baina yao na watu wa Zanzibar.
-Wanafunzi kutoka Uturuki na Bosnia wakiwa katika picha ya pamoja
na wanafunzi wa madrasa na walimu katika Kisiwa cha Tumbatu katika
ziara yao ya siku mbili ya kujenga urafiki baina yao na watu wa
Zanzibar.
-Wanafunzi kutoka Uturuki na Bosnia wakipata dua kwa Mzee wa Kisiwa cha
Tumbatu na kutoa msaada wa chakula ikiwa pamoja na Mchele Unga wa
ngano,Sukari na Mafuta ya kupikia katika ziara yao ya siku mbili ya
kujenga urafiki baina yao na watu wa Zanzibar.
Kiongozi wa Wanafunzi Omar akimkabidhi Mzee wa kijiji cha Tumbatu
Msaada wa Chakula katika ziara yao ya siku mbili ya kujenga urafiki
baina yao na watu wa Zanzibar
0 comments:
Post a Comment