Rais
 Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana  na aliyekuwa Mwenyekiti wa
 CUF Profesa Ibrahim Lipumba  Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba. 
Profesa Lipumba amempongeza Rais kwa kuchaguliwa kwake kwa kishindo na 
pia ameipongeza hotuba ya Rais Magufuli aliyoitoa wakati wa kufungua 
Bunge la 11 mjini Dodoma 30, 2015
Rais
 Dkt John Pombe Joseph Magufuli akifanya mazungumzo na aliyekuwa 
Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba  Ikulu jijini Dar es salaam 
leo Novemba. Profesa Lipumba amempondeza Rais kwa kuchaguliwa kwake kwa 
kishindo na pia ameipongeza hotuba ya Rais Magufuli aliyoitoa wakati wa 
kufungua Bunge la 11 mjini Dodoma 30, 2015
Rais
 Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiagana na aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF 
Profesa Ibrahim Lipumba  Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba. Profesa
 Lipumba amempondeza Rais kwa kuchaguliwa kwake kwa kishindo na pia 
ameipongeza hotuba ya Rais Magufuli aliyoitoa wakati wa kufungua Bunge 
la 11 mjini Dodoma 30, 2015. 
Rais
 Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana  na Balozi wa China hapa 
nchini Dkt. Lu Youqing Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 30, 2015
 Rais Dkt John Pombe Joseph 
Magufuli akizungumza na Balozi wa China hapa nchini Dkt. Lu Youqing 
Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 30, 2015
Rais
 Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana  na Balozi wa Korea ya 
Kusini  hapa nchini Mhe. Chung IL Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba
 30, 2015. Balozi huyo pia alitumia nafasi hiyo kumuaga Rais kwa kuwa 
muda wake wa kufanya kazi nchini umemalizika.
Rais
 Dkt John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Balozi wa Korea ya Kusini
  hapa nchini Mhe. Chung IL Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 30, 
2015. Balozi huyo pia alitumia nafasi hiyo kumuaga Rais kwa kuwa muda 
wake wa kufanya kazi nchini umemalizika.
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment