Katibu
Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw.HAB Mkwizu (kushoto)
akimkabidhi Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji wa Maadili wa Ofisi ya
Rais-Utumishi Bw.Mathew Kirama fomu maalum ya kuweka Ahadi ya Uadilifu
kwa Watumishi wa Umma mapema leo ofisini kwake.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Tixon Nzunda (kushoto) akielekeza namna ya kutoa Ahadi ya Uadilifu kwa watumishi wa Umma zoezi lililofanyika mapema leo Ofisi ya Rais-Utumishi jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw.HAB Mkwizu akitia saini fomu ya Ahadi ya
Uadilifu kwa watumishi wa Umma ya Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya
Rais-Utumishi Bw. Tixon Nzunda (kulia) ofisini kwake mapema leo.
Wakuu
wa Idara na Vitengo wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakila kiapo cha
Uadilifu kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw.HAB Mkwizu (kushoto)
mapema leo.
0 comments:
Post a Comment