Hatimaye
 Job Yustino Ndugai CCM amechaguliwa kuwa Spika wa bunge la jamhuri ya 
Muungano wa Tanzania kwa kuchaguliwa kwa kura 254 sawa na asilimia 70% 
ya kura zilizopigwa akifuatiwa na mgombea wa CHADEMA Goodluck Ole Medeye
 ambaye amepata kura 109.
Hata
 hivyo wagombea hao ambao walikuwa 7 kati ya 8 wameweza kutoa shukrani 
na pongezi kwa Ndugai wakisema anastahili na ndio maana akachaguliwa na 
kumtaka aongoze vyema bunge hilo.
 Job Ndugai ameibuka mshindi wa kiti cha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupata kura 254 sawa na asilimia 70 ya kura zote ambapo jumla ya kura zilizopigwa ni 365
Matokeo ya kura za Spika.
A: Job Ndugai (CCM)- 254
B: Goodluck Ole Medeye (CHADEMA) - 109
C: Hashimu Rungwe (CHAUMA)- 0
D: Peter Sarungi (AFP) -0
E: Dkt Godfrey Malisa (CCK)- 0
F: Richard Lymo (T.L.P) -0
G: Robert Kisinini (DP) -0
B: Goodluck Ole Medeye (CHADEMA) - 109
C: Hashimu Rungwe (CHAUMA)- 0
D: Peter Sarungi (AFP) -0
E: Dkt Godfrey Malisa (CCK)- 0
F: Richard Lymo (T.L.P) -0
G: Robert Kisinini (DP) -0
Kura zilizoharibika ni 2
 
 
 
 
 
 

 
 
0 comments:
Post a Comment