Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Saidi Meck Sadiki  akizungumza mbele
 ya wanahabari, madaktari na baadhi ya akina mama waliokuwa na watoto 
waliozaliwa kabla ya wakati maarufu kama Njiti (Hawapo pichani). Kushoto
 ni DoriS Mollel ambaye ni Mwanzilishi na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya 
Doris Mollel Foundation (DMF) na wengine ni maafisa kutoka Hospitali ya 
Taifa Muhimbili. 
Baadhi
 ya wafanyakazi wa Hospitali ya Muhimbili wakishuhudia tukio hilo maalum
 la taasisi ya DMF ilipotoa vifaa hivyo katika kitengo cha Jengo la 
Watoto.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Meck Sadik akipata maelezo juu ya vifaa hivyo vilivyotolewa na Taasisi ya DMF.
Msimamizi
 wa wodi ya akina mama wanaopatiwa huduma ya Kangaroo dhidi ya watoto 
wao ambao walizaliwa njiti, akimpatia maelezo Mkuu wa Mkoa wa Dar es 
Salaam alipotembelea wodi hiyo leo.
Picha
 ya juu na chini Mkuu wa Mkoa wa Dar e Salaam akiwafariji baadi ya 
wakinamama waliojifungua watoto kabla ya wakati maarufu njiti wakati 
alipotembelea wodi hiyo ya watoto mapema leo.
Mkuu
 wa Mkoa wa Dar es Salaam akimpatia zawadi ambayo ni jozi ya soksi kwa 
ajili ya kusaidia watoto njiti kwa mmoja wa  wamama waliokuwa katika 
wodi hiyo ya watoto njiti.
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment