Mwanzilishi
wa Mfuko wa Doris Mollel, Doris Mollel akizungumza katika kilele cha
maazimisho ya siku ya watoto waliozaliwa kabla ya siku (njiti) katika
mkutano ambao umefanyika leo kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
(MNH). Kulia ni mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck
Sadick.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick akizungumza kwenye maadhimisho hayo leo.
Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma na Huduma kwa Wateja, Aminiel
Aligaesha akifuatilia mkutano huo leo pamoja na wauguzi waandamizi wa
hospitali hiyo.
0 comments:
Post a Comment