Naibu Waziri wa Fedha na Mipango
Mhe. Dk. Ashantu Kijachi akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bw. Adamu
Mayingu wakati alipokuwa akimpa maelezo baada ya Naibu Waziri huyo
kufanya ziara katika shirika hilo leo jijini Dar es Salaama habari
alipofanya ziara ya kushtukiza katika ofisi za
Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bw. Adamu
Mayingu (hayupo pichani) akizungumza na na waandishi wa habari (hawapo
pichani) alipotembelewa na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dk.
Ashantu Kijachi (hayupo pichani) leo jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bw. Adamu
Mayingu (hayupo pichani) akizungumza na na waandishi wa habari
alipotembelewa na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dk. Ashantu
Kijachi
0 comments:
Post a Comment