Ujumbe wa Shirika la Nyumba la Taifa la Uganda (NHCC) ukiongozwa na
Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika hilo, Parity Twinomujuni (aliyeketi mbele
ya logo ya NHC) ukijadiliana masuala mbalimbali yanayohusu sekta ya
nyumba nchini na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa la
Tanzania, Nehemia Kyando Mchechu. Ujumbe huo umekuwapo katika ziara ya
siku mbili ya mafunzo nchini kujifunza namna utendaji wa Shirika la
Tanzania unavyofanyika ili waweze kupata njia za kuweza kuboresha
Shirika zaidi Shirika la NHCC Uganda.
Ujumbe wa Shirika la Nyumba la Taifa la Uganda (NHCC) ukiongozwa na
Afisa Mtendaji Mkuu Parity Twinomujuni (aliyeketi mbele ya logo ya NHC)
ukijadiliana masuala mbalimbali yanayohusu sekta ya nyumba nchini na
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa la Tanzania, Nehemia
Kyando Mchechu. Ujumbe huo umekuwapo katika ziara ya siku mbili ya
mafunzo nchini kujifunza namna utendaji wa Shirika la Tanzania
unavyofanyika ili waweze kupata njia za kuweza kuboresha Shirika zaidi
Shirika la NHCC Uganda.
Mojawapo
ya nyumba za NHC Mwongozo zilizotembelewa na Ujumbe wa Shirika la
Nyumba la Taifa la Uganda (NHCC) ukiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu
Parity Twinomujuni. Ujumbe huo umekuwapo katika ziara ya siku mbili ya
mafunzo nchini kujifunza namna utendaji wa Shirika la Tanzania
unavyofanyika ili waweze kupata njia za kuweza kuboresha Shirika zaidi
Shirika la NHCC Uganda.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Nyumba la Taifa la Uganda (NHCC)
Balozi Agnes Kadama Kalibbala na Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la
Nyumba la Taifa la Uganda (NHCC) Parity Twinomujuni wakifuatilia
mawasilisho yaliyokuwa ya kifanywa na Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba
la Taifa la Tanzania jana.


0 comments:
Post a Comment